Chunguzeni maradhi
(Investigate the disease)

nimechoka na maradhi
daktari wa kisasa ameshindwa
mganga wa kienyeji amesalimu amri
viongozi wa kiroho wamenikana
hawahusiki na afya
kazi yao ni kutibu roho
nimeshauriwa nimuone daktari bingwa
ninasita
je akinichunguza mie
badala ya maradhi!

~~~

Invesitgate the disease

I am tired of diseases
The modern doctor has failed
The traditional doctor has capitulated
spiritual leaders have disowned me
they are not concerned with health
Their job is to treat the soul.
I am advised to see a consultant,
I hesitate
What if he investigates me
instead of the disease!

April 6, 2018

License

Poems for the Penniless Copyright © 2019 by Issa G Shivji. All Rights Reserved.

Share This Book